Kuondoa damu chafuNi tiba na kinga mzuri sana mzuri sana kwa maradhi mengi,hufanywa kila tarehe za mwisho wa mwezi,lmefundishwa vizuri sana katika mafundisho ya kiislam na mtume wao..kwa wenye kufahamu vizuri naomba elimu zaidi..mzizi mkavu njoo utupe darasa tafadhari