Kuondoa kovu

Kuondoa kovu

Elongo Junior

Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
55
Reaction score
30
Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la wagogo. Shida yangu ni kujua kama kuna uwezekano wa kutumia utaalamu wa kuondoa na kovu likapotea(kuisha)
 
Waliokuwekea walikuwa na maana yao ambayo naamini ni nzuri.
Unaweza kupata ajali na kufa wazazi/ndugu zako wasikutambue kirahisi.
Achana na usharobaro!!
Baki original. 😎
 
mkate kichwa litoke,watu wa mkoani mkija mjini alama zenu mlizotoka nazo huko nanganga hamzitaki tena,dah!
 
Kama kovu imeingia ukiwa mdogo kuliondoa ni vigumu sana ndugu hata usisumbuke sana
 
Back
Top Bottom