Elongo Junior
Member
- Apr 21, 2018
- 55
- 30
Asante kwa ushauri mzuriWatembelee wale jamaa wanaojitangaza wanafuta 'tatuu' na 'chale' huenda wakakusaidia.
Waliokuwekea walikuwa na maana yao ambayo naamini ni nzuri.Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la wagogo. Shida yangu ni kujua kama kuna uwezekano wa kutumia utaalamu wa kuondoa na kovu likapotea(kuisha)