fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Naomba ujuzi wako jinsi unavyofanya kuondoa madoa,kwenye nguo,shuka au mataulo meupe.Je kuna sabuni au dawa maalumu unayotumia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok ila haitoi nimejaribu sanaJik huwa ndio dawa mahususi zaidi.
ok ntaitafuta hii keshoTafuta omo bleach
Unatumia Jk ipi tuanzie hapo ya maji auok ila haitoi nimejaribu sana
Jiko naonaga maji tuok ila haitoi nimejaribu sana
Unatumia sabuni gani.usikute doffyUnatumia Jk ipi tuanzie hapo ya maji au
Unaloweka usiku kucha na sabuni tumia arielok ntaitafuta hii kesho
okUnaloweka usiku kucha na sabuni tumia ariel
hiyo siipendi kabisa huwa natumia oko ya kawaida au sabuni za maji za kufukia kwa mashineUnatumia sabuni gani.usikute doffy
ya majiUnatumia Jk ipi tuanzie hapo ya maji au