Kuondoa mafuta usoni

Kuondoa mafuta usoni

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!
 
nenda jf doctor utapata msaada haraka
 
Peleka hili jukwaa halisi utasaidiwa
 
Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!

Aise muone daktari, ila mafuta usoni ni ishara mwili au uso unakukinga na jua kali, usijaribu kufuata mawazo ya mtaani, waone madktari wangozi aise..
 
Si ndio safi inakupunguzia gharama ya rotion?ukioga tu unasepa hupaki futa.
 
Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!
Mafuta ya usoni yapo ya aina mbili
1:mafuta yatokayo kichwani huyeyuka na kuchuruzikia usoni !!!Epuka kupaka mafuta mengi kichwani na tumia mafuta ambayo ni kwa ajili ya nywele tu
2: mafuta yatokayo ndani ya ngozi ya uso
Tiba ya aina zote mbili hakikisha unaoga mara mbili kwa siku ukitumia sabuni za carambola ukwaju au dudu , uwe na brush laini ya kusugua mafuta yote kichwani na kitambaa laini cha kusugua uso
Ukilala paka mafuta ya nazi tu usoni asubuhi ukishanawa vizuri usipake chochote
Jaribu hiyo kwa wk moja utaniamba
 
unapooga safisha uso wako vizuri, futa kwa taulo safi usijipake kitu chochote kile baada ya wiki utaona mabadiliko

pia epuka vyakula/vinywaji vinavyoongeza
 
Back
Top Bottom