middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!
DuhSi ndio safi inakupunguzia gharama ya rotion?ukioga tu unasepa hupaki futa.
nenda jf doctor utapata msaada haraka
Mafuta ya usoni yapo ya aina mbiliHabari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!
Ukiona hivyo ujue imehamishwa tayari.Ndiko alipo lakini