Kuondoa makovu

Kuondoa makovu

wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu.karibuni
Nijuavyo mimi mafuta ya Zaituni huondoa makovu, ngozi kuwa lakini, Mimi nayatumia kama scabu ni nzuri pia.
IMG_20181213_104413.jpg
 
Back
Top Bottom