DAVIES KILANGI Senior Member Joined Nov 25, 2018 Posts 174 Reaction score 118 Dec 13, 2018 #1 Wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu. Karibuni
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,194 Dec 13, 2018 #2 DAVIES KILANGI said: wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu.karibuni Click to expand... Nijuavyo mimi mafuta ya Zaituni huondoa makovu, ngozi kuwa lakini, Mimi nayatumia kama scabu ni nzuri pia.
DAVIES KILANGI said: wakuu habari ya uzima, nini dawa ya kuondoa makovu.karibuni Click to expand... Nijuavyo mimi mafuta ya Zaituni huondoa makovu, ngozi kuwa lakini, Mimi nayatumia kama scabu ni nzuri pia.