Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
1. Jamani naomba msaada kufungua kompyuta yangu inayonidai password wakati wa kufungua. Kompyuta haikuwa na password.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaanisha haujui hiyo password na hauwezi ku-log in unless kama una guest account?Perhaps ulimuachia mtu aka-create account au yaweza kuwa ni issue na virus infection...
soma vizuri post namba 3 na fuata maelekezomkuu ukiiwasha inakuja dilogue box ya user name na password. Ni xp pro custom, kama ni virus nifanyeje?
soma vizuri post namba 3 na fuata maelekezo
nimefanya hivyo the same results occured:
windows xp pro custom by search engine, username and password required