Kuondoa weusi uliokomaa kwenye mashavu na shingoni uliotokana na unyoaji ndevu

Kuondoa weusi uliokomaa kwenye mashavu na shingoni uliotokana na unyoaji ndevu

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
MSAADA MADAKTARI JAMANI,Nimewahi kuota ndevu sasa nilizoea nazikwangua zote kwenye mashavu zimejenga weusi kwenye shingo na mashavu kias kwamba naonekana mtu mzma sana wakat nina miaka 25 sasa naomben ushaur nifanyeje au nitumie dawa gani ya kunifanya nirudishe rangi iwe soft ingawa ninandevu mabaka na makunyanz yaondoke Ushaur ndugu zangu nawakaribisha wote
 
Jaribu kutumia Gillette After Shave, ni Nzuri sana, ingawa mm sio mtaalamu wa ngozi...

Wacha expert wa hayo mambo waje
 
Mmmh! Mada zingine bhanaa! , jaribu kutembelea saluni za wanawake huko wao wana ujuz zaidi kuhusiana na maswala ya kurekebisha ngoz
 
Back
Top Bottom