mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Siku si nyingi niliandika kuhusiana na kipaji cha LilOmmy nadhan macho yangu yalikuwa sawa na wengine hatimae muda umezungumza, na leo The Playlist ni kipindi chake cha mwisho baada ya hapo atakuwa akisomeka code zingine (I mean kuna kituo cha redio kingine atakuwa akisikika) ni kipi..? mimi na wewe hatujui ila muda si mrefu utamsikia.
Jabir Saleh aka Kuvichaka aka Kibonge tozi alifanya yake pale Times Fm kwenye kipindi cha The Jump Off ni moja ya kipindi cha burudani kilichotikisa muda wa jioni mpaka usiku kwa info na mziki mkali.
Jabir Saleh aliondoka muda kidogo, na LilOmmy anaondoka na madj wakali kama Dj Cobo, DjKU,dJ RGUY waliisha ondoka muda nakumbuka 2011 yalifanyika mashindano yakuwapata na walikuwa moto.
Kwa sasa sioni mtu ambae ana chachu kwa upande wa Burudani pale Times hasa Raheem ni kapa kapwaya kwenye Bongo.home, ni muda sasa wa Times wamrudishe Aloyce senzia aka Mapembe baby ili aongeze nguvu maana huko Triple A fm hatumsikii kabisa.
Kila raheri LilOmmy.