Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Wapo manguli wa siasa walifanya kazi kubwa kukijenga chama lakini mwisho walihama vyama na wengine kung'olewa na mwisho walionekana ni wasaliti tu chama kilishinda vita hii.
Kuhama kwa Msigwa kumekuja kitofauti sana na wala haikutegemewa. Baada ya mchungaji Msigwa kudondoka katika uchaguzi wa Kanda amenukuliwa akitoa tuhuma kuhujumiwa katika uchaguzi kwa watu kuhongwa pesa ili yeye asishinde.
Maswali ya kujiuliza
Swali la kwanza inawezekana labda mchungaji Msigwa ameona chama chake kimetoka katika misingi yake ya kidemokrasia kupambana mpaka kufikia hatua ya kutumia rushwa kwenye uchaguzi?
Swali la pili kwanini aende CCM kwanini asingeenda chama kingine ambacho kinasimamia misingi ya kidemocrasia na haki.
Swali la tatu pengine inawezekana intelejensia ya viongozi wa chadema waliona msigwa sio mwenzao ni msaliti ndio sababu wakaamua kumuengua katika uchaguzi wa Kanda tumesikia katika mikutano ya chadema kwamba mama kamwaga mapesa ili kuhujumu chaguzi hizi za Kanda.
Wahusika wakuu ni kina nani hapo CHADEMA?
Hii muvi imechezwa na watu wenye akili sana.
Ni Nina atakaye malizwa kisiasa kati ya mch msigwa au CHADEMA.