USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Asubuhi ya leo wakati naamka huwa nitautaratibu wa kuangalia baadhi ya chaneli za habari nikaanzai France English hakuna, fox hakuna. Nikashangaa kwanini na nimelipia.
Zile za watoto vikatuni vyao hakuna wamebakiza tatu tu.
Movies wameondoa action zote wamabakiza wachina tu na vitamthiria vya kituruki vya kueneza uislamu, kwenye michezo vile vile wameondoa na kubakiza tano tu.
Kiufupi wakuna king'amuzi tena hapa ni uchafu tu mimi hizi local huwa siangalii kabisa na hizo za action movies na habari za kimataifa ndio mambo yangu sasa nimeagiza Dstv nataka nikirudi leo wafunge tuheshimiane.
Tunalipia 35k mwezi mzima mnakata bila taarifa kuwa mtapunguza chaneli maana naona sio chini ya chaneli 20 mmetoa.