Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,068
- 711
Wanabodi, wizara ya maliasili na utalii ni kati ya wizara kubwa zenye vyanzo vingi saana vya mapato (wengine tunaiita ni serekali ndani ya serekali kwani ina kila kitu). Kati ya Taasisi nyeti ambazo zipo chini ya hii wizara ni Tanzania Tourist Board ( TTB) na iliundwa baada ya TCC KUFA(Tanzania Tourist Corporation). TTB haijawahi kuwa na Mkurugenzi, Msomi, muelewa, mvumilivu Kama Dr. A. Nzuki kwa masikitiko makubwa leo Nimemsikia Nyalandu alivyotengua Uteuzi wake kwa sababu anazozijua yeye peke yake eti Bodi ya wakurugenzi hawafurahishwi na utendaji kazi wake hao wajumbe wa bodi ni akina nani? Wana weledi gani katika hii sector ya utaLII? Binafsi namfahamu Dr. Nzuki kama Ofisa Utaliii( aliyehusika saana na mambo ya statistic).
Kaimu Mkurugenzi Idara ya utalii, Baada ya kumchanganya alihamua kuchukua likizo ya bila malipo akahamia Quatar Kama Mwalim Mtaalam wa mambo ya Utalii. Mwenguo (RIP) alipondolewa TTB, na nafasi yake kutangwazwa, Watu walimshauri Dr. Nzuki aombe hiyo kazi na kweli aliomba na akafanya interview Jinalake likapelekwa Ikulu akaidhinishwa...sasa leo kwa masikitiko leo Nyalandu Kamuondoa najiuliza kama mdau kuondolewa kwa Dr. Nzuki kweli kuna TIJA kwenye hii sector ya utalii kweli? aliyechukua nafasi yake Devota Mdachi kwa msiomfahamu shule yake ina waaaaaaalakini tena mkubwa na hata kupewa umeneja kulileta kelel nyingi saana TTB, huyu ndo mchapa kazi kuliko Nzuki? Kwa tuliowengi hatujasahau ni Nyalandu huyu huyu aliyewatimua walimu wale wa SUA mkurugenzi wa Idara ya wanyama pori na Misitu nini malengo yake hasa? tunaelewa Dr. Nzuki, Wizara hawampendi kwa sababu alitaka TTB iwe autonomous kama EWURA,TCRA na baadhi ya idara ndani ya wizara kama TALA Ziwe Chini Yake kwetu sio wakwanza kabisa kuwa na mfumo huo hata South Africa wanahuo Mfumo na kwa kufanya hivyo TTB ingekuwa na vyanzo vyake HURU vya Mapato na wasingetegemea Budget ya Serekali Kuu.
Wachumia TUMBO wakaona jamaa anataka kumwagia kitumbua chao mchanga ndio wakamuanzishia majungu. Chamsingi TTB hata aletwe malaika kama hiyo taasisi haina pesa za kutosha haitaweza hata kidogo. Kuutangaza Utalii wa Tanzania popote kwahili NYALANDU utamfukuza kila mtu na mwisho wa siku utajifukuza mwenyewe.

TUJIKUMBUSHE UTEUZI WA Dr. Aloyce Nzuki na Mh. Rais Kikwete mwaka 2010:
A few months after the statutory retirement of the former chief executive officer of the Tanzania Tourist Board, Mr. Peter Mwenguo, President Jakaya Kikwete has appointed Dr. Aloyce Nzuki to take over the very competitive and high-ranking position in Tanzania's tourism sector.
The President appointed Dr. Nzuki, who until last month was an assistant professor at Salalah University in Oman. Dr. Nzuki, a highly-qualified tourism professional, worked with Tanzania's ministry for natural resources and tourism as an assistant director of tourism.
He holds a doctorate degree in tourism development from Clemson University of South Carolina in the United States, which he graduated from a few years ago.
Before joining the tourism industry, Dr. Nzuki studied statistics at Makerere University in Uganda then masters degree in tourism marketing at Surrey University in UK before pursuing his doctorate degree in tourism.
Upon taking over the high-ranking job in Tanzania's fast-growing tourist industry, Dr. Nzuki will join a team of tourism professionals in marketing and will work to promote tourism in new emerging markets in the world parallel to traditional market sources.
Tanzania is currently targeting the newly-emerging tourist markets of China, India, Japan, and the former socialist countries of Eastern Europe. The 2010 FIFA World Cup is the other target which Tanzania is looking to add value to its tourist products.
Tanzania, the largest country in East Africa, is focused on wildlife conservation and sustainable tourism, with approximately 28 percent of the land protected by the government.
It boasts 15 national parks and 33 game reserves and the world's acclaimed Ngorongoro Crater, often called "The Eighth Wonder of the World;" Olduvai Gorge, the Cradle of Mankind; the Selous Game Reserve, the world's largest wildlife reserve; and Ruaha, now expected to be the largest national park on the African continent.
Since taking over the top leadership of this African safari destination, President Kikwete has been actively campaigning for his country's tourism development through his foreign entourages and local trips in both political and economic missions.
The Tanzania Tourist Board is a government organization, which was legally established by the Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by Act No. 18 of 1992. The board was formed after the disbandment of the Tanzania Tourist Corporation (TTC).
The board is mandated with promotion and development of all the aspects of tourism industry in Tanzania with a vision that aims to make tourism the number one economic contributing sector to the Tanzania GDP by the year 2025.
The board's mission is attributed to promote sustainable tourism domestically and internationally through innovative and dynamic awareness creation, in order to contribute significantly to the social and economic development of Tanzania. Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...64-dr-aloyce-nzuki-the-new-boss-of-ttb-2.html
Sijui Ikulu, Waziri na Bodi ya Wakurugenzi safari hii watapata mtu atakae leta MABADILIKO MAKUBWA KWA KASI ktk TTB ili Tanzania ifaidike kabla tembo, faru, nyati hawajaisha mbugani!