mwilongo Aron
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 109
- 54
Tulifanya utra sound na kitu ikaonesha hakuna chochoteSiku 20 mbona nyingi???
Rudini kwa hosptl......mlifanya utrasound????
Inategemea na umri wa mimba..Tulifanya utra sound na kitu ikaonesha hakuna chochote
Asante mkuu, japo leo jioni ameanza kupata hedhi ila maumivu ya kiuno ni makali sana.Inategemea na umri wa mimba..
Baadhi ya wataalam wanasema from 4-6 weeks... (wengine it only took up to 19 days toka miscarriage )
Ila mnaweza rudi hospitali ili.muwe na amani zaidi
Ila bhcg levels hupungua taratibu.....hata akipima sasa si kipimo kipo faint????
Mpe pole. Anywe paracetamolAsante mkuu, japo leo jioni ameanza kupata hedhi ila maumivu ya kiuno ni makali sana.