Kuongea na mhudumu wa Voda Mpesa kipi nifanye?

Mi niliibiwa laini, nikatumia namba ya wakala mshikaji wangu, wakaifungia ile laimi kupiga na Mpesa. Mwezi uliopita wa 12.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifanya nicheke...kwa hiyo mhudumu angekuambia upige kwa laini iliyoibiwa?
 
jitahidi tu kubonyeza zile namba mkuu maana hizo namba zingekuwepo, sidhani kama kuna mtu angeipiga hiyo 100
 
namaanisha ukipa 100 inakuoa option yofauyitofauti lakini sifiki kuongea na mtoa huduma iwapo options hizi hazinipi majibu..ando hapo nwomba msaada
 
mbona mimi mara zote nikibonyeza hizo namba mwishoni zitanambia kuwa nibonyeze namba ya kuongea na mtoa huduma wao. Ukiona inakusumbua sana ni kheri uende kwenye matawi yao mkuu
 
Labda baadhi ya line mana hata vifurushi vya bando mi na wife tuna tofautiana japo wote mtandao mmoja
 
Maneno yale tatizo.. nenda kwenye office zao zilizopo karibu nawe.. msipigane huko
 
Back
Top Bottom