Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Wewe endelea tu unakosa vingi vizur jana nilitaka nikupe offer uje getho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hapo Sasa ndo unakosea kwani mimi na wewe tumegombana
Ukija kwenye uzi wangu uje na adabu zakooo maneno ya shombo marufuku labda kama tunajuana mm ukija kishari na mm nakujibu kishari sawa yaonekana wewe ukimjua mtu nje ya jf atakoma sana jijengeee heshimaaa siyo unacomment kama unamtishia nyauuuuu
 
Mama mganga kasema
 
Sawa dada angu mimi na wewe tunaheshimiana Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…