Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Ukipigiwa video call unasema simu yangu haina kamera ya mbele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwifwa ananiitaga msomali hajui kama make up hiyooo akiniambia video call mpaka nijiandae kwanzaaa
Yaishe dada angu, mimi nakuheshimu sanaEndelea hivyo hivyo nilishakuona kitambk sana na leo umerudia lakin kama umeamua yaishee sawa japo kaa ukijua nimekuweka kwenye rada
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hunifikii,baba alijua kutenda miujiza kwangu walahi,usiombe nigeuke[emoji23] waweza sema huu ukuta umewezaje kumove
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwifwa ananiitaga msomali hajui kama make up hiyooo akiniambia video call mpaka nijiandae kwanzaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116]hafu ukute ni Kasulu vijijini kama unaenda kambi ya NyarugusuUsiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
ππππNikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo
way backUnatumia voda?
tehteehhh.....Na safar za treniii
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Marhaba binti....!!Shikamooo mzee baba