Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
kumbe vifurushi vya cheka bado vipo??? duuk kitambo sana kabla hata sijaanza kutumia simu
 
Huyu wa kwangu ni balaaa sijajibu sms zake sasa ni mwaka ila kila siku anapiga anatuma sms hakati tamaaa
 
Je muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?

Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?
Sijazungumzia maswala ya mpesa kama akijisikia kutuma ni kwa raha zake nakula au namrudishia
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wasukuma sasa utasikia

Unajuaaa Demiss mimi nakupendaga sana unanifanyaga mapigo ya moyo wangu yadundeee sana
Anakwambia "mimi nakupenda lolo,moyo wangu umekudondokea(hapa kwenye kudondokea unakandamiza[emoji23])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…