ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Shukrani na dua na sala zimwendee MWENYEZIMUNGU aliyewanyima wanyama wote kuongea akatupa sisi binadamu huo uwezo.
Nani Kama MUNGU wetu? Tutumie ulimi wetu kuongea mazuri ya kuelimisha tugeukie upande mwingine tuwe positive kiswahili kitamu Sana kwenye ulimi.