Kuongea usingizini

Kuongea usingizini

Runner

Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
85
Reaction score
13
Habari wana JF,mimi napenda kufahamu;Ni nini sababu inayomfanya mtu kuongea akiwa usingizini (ANAOTA ANAONGEA KWA SAUTI),na hii huwa ni tatizo au ugonjwa?Na je linaweza kuepukika?Naomba msaada kwenye hili.
 
Inabidi ukaombewe inawezekana ikawa unaongea na mizimu. labda utoe ufafanuzi zaidi ni maongezi ya namna gani kabla haujapewa msaada.
 
ukilala unalala akili lakini mfumo wa uongeaji haujalala....nsomana unaendelea kupiga story
 
Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala
 
unakuta kuna jambo uliliongea sana mchana sasa usiku ubongo ndio unakuwarudia ulichofanya mchana huo..
 
Feis buku.
Majibu kama ya kule utokako.
OTIS.
 
Thats true Sabry,nadhani alikosa kazi ya kufanya na hajui alitendalo
 
Back
Top Bottom