Runner Member Joined Feb 7, 2011 Posts 85 Reaction score 13 Sep 22, 2011 #1 Habari wana JF,mimi napenda kufahamu;Ni nini sababu inayomfanya mtu kuongea akiwa usingizini (ANAOTA ANAONGEA KWA SAUTI),na hii huwa ni tatizo au ugonjwa?Na je linaweza kuepukika?Naomba msaada kwenye hili.
Habari wana JF,mimi napenda kufahamu;Ni nini sababu inayomfanya mtu kuongea akiwa usingizini (ANAOTA ANAONGEA KWA SAUTI),na hii huwa ni tatizo au ugonjwa?Na je linaweza kuepukika?Naomba msaada kwenye hili.
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 354 Sep 22, 2011 #2 Inabidi ukaombewe inawezekana ikawa unaongea na mizimu. labda utoe ufafanuzi zaidi ni maongezi ya namna gani kabla haujapewa msaada.
Inabidi ukaombewe inawezekana ikawa unaongea na mizimu. labda utoe ufafanuzi zaidi ni maongezi ya namna gani kabla haujapewa msaada.
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Sep 22, 2011 #3 ukilala unalala akili lakini mfumo wa uongeaji haujalala....nsomana unaendelea kupiga story
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Sep 22, 2011 #4 Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Sep 22, 2011 #5 feis buku said: Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala Click to expand... Duh, majibu mengine Bana!!!
feis buku said: Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala Click to expand... Duh, majibu mengine Bana!!!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Sep 22, 2011 #6 unakuta kuna jambo uliliongea sana mchana sasa usiku ubongo ndio unakuwarudia ulichofanya mchana huo..
unakuta kuna jambo uliliongea sana mchana sasa usiku ubongo ndio unakuwarudia ulichofanya mchana huo..
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 832 Sep 22, 2011 #7 Feis buku. Majibu kama ya kule utokako. OTIS.
Sabry001 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,064 Reaction score 354 Sep 22, 2011 #8 feis buku said: Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala Click to expand... yani mamiyo ako na hasara kuzaa punda km wewe! Ur so pathetic...people are serious we waleta matani ya kijinga? Xkulpic
feis buku said: Kunywa majo na usoyameze ama weka kokoto kabla ya kulala Click to expand... yani mamiyo ako na hasara kuzaa punda km wewe! Ur so pathetic...people are serious we waleta matani ya kijinga? Xkulpic
Runner Member Joined Feb 7, 2011 Posts 85 Reaction score 13 Sep 23, 2011 Thread starter #9 Thats true Sabry,nadhani alikosa kazi ya kufanya na hajui alitendalo
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Sep 23, 2011 #10 TANMO said: Duh, majibu mengine Bana!!! Click to expand... yana sokota eeh!
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Sep 23, 2011 #11 Runner said: Thats true Sabry,nadhani alikosa kazi ya kufanya na hajui alitendalo Click to expand... !!!!!!
Runner said: Thats true Sabry,nadhani alikosa kazi ya kufanya na hajui alitendalo Click to expand... !!!!!!