Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
mganga anatibu gonjwa gani kwenye bznessNenda kwa witch doctor ukachukue maujanja.
Ndio bossUnatuma mikoani?
Eve, niko mabibo ,yakufikia chaap weka location tu.Napenda magimbi mie, uko wapi.....
Mabibo kule mahakama ya ndizi?Eve, niko mabibo ,yakufikia chaap weka location tu.
Yes, ndio ofisi kuu.na matawi mengi tu ubungoMabibo kule mahakama ya ndizi?
Unauzaje gunia magimbi na viaziYes, ndio ofisi kuu.na matawi mengi tu ubungo
Gunia laki na kumiUnauzaje gunia magimbi na viazi
Thank youGunia laki na kumi
Gunia laki na kumi
Biashara timing Kuna kipindi utauza sana Kuna kipindi Dolo. Ila pambana kijana. Biashara Imani.Gunia laki na kumi