Monde Joshua Martin
Member
- Jan 30, 2013
- 13
- 1
Tangawizi mbichi au?Caustic soda+ tangawizi+asali kunywa kijiko Kimoja kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja.<br />
<br />
Juice au tunda lenyewe la tikitimaji tumia ikiwezekana kila siku charge zitarudi kama kawa mkuu.
Kula mkongoraaa.
kula vyakula vya asili, matunda na mboga za majani. Epuka kula chips zilizokaangwa kwa kutumia mafuta ya transfoma, epuka kula kuku wa kisasa, In short, epuka genetically modified food. Fanya mazoezi, kunywa maji kwa wingi. kunywa juice za asili, acha kunywa soda, pombe, nk. Uwe na mpenzi mmoja tu. Hizo dawa za kuongeza nguvu za kiume. umenierewa?Naomba mnitajie dawa ambazo zinafaa kuongeza nguvu za kiume. Nawasilisha.