inakuwaje wakubwa? natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jf wote
tatizo langu ni kwamba natumia simu kama modem kwa sasa speed inanionyesha kuwa ni 921.6 kbp,kiukweli sijaridhishwa na speed yake je kuna uwezekano wa kuongeza speed?
hzo 921.6 kbps ndo spidi unayopata?au ndo uwezo wa cm wa kupitisha data? Cuz kama ndo spidi unayopata cjui kwa nn unalalamika akat hata wngne hawapat 250 kpbs! Labda ucku wa manane!