Kuongeza urefu wa uume

ujue kifupi ukikitumia vizur nikitamu sanaaa, make sure unakuwa romantic, jifunze vijipozi poz vyakumfanya mwanamke awe very hot hadi aiombe mwenyewe,
usiingie kabla hajaing'ang'anina na usikae style yakutanua miguu yake, fanya style itayomfanya awe amebana maeneo, style yakumpakata hivi, au ile maneno yako awe anaikalia then anashuka unapanda anashuka mnakutana hapo uhuru peak , n.k

halafu ukiyajua mahabati vizuri hata kama una hamu ya bao 4-5 hivyo vifupi havisugui sana nakuchoza/ kuumiza kuta za mwanamke haraka kama mihogo akichoka anakutegeshea unashughulika hadi basi twna . jikubali wewee loooh
 
bwana mm pia nlikua nataka niongeze dushe yangu. nkashindwa nkapoteza pesa zangu kibao ungekuta hata nimekula upaja wa kuku na supu japo nirepee afya yang. nlishindwa nli google mara kibao maforum ya bonga na nje, nje wao hamna shaka ni more developed. wao wanasema wanakupa dawa za dukan au za asili ila ni gharama sana. pia operation inarefusha ila hii ina matatizo mbelen ujue bollo linakua slow na linalegea sana pia ukizeeka na kwambia bila kushtua na super shaft huyu mjamaa alienyimwa kofia hajigusi ata uletewe papuchi na bikra 100. bongo wanasema sana za kimasai. wachache walifanikiwa ila mpaka umpate mmasai wa ndani ndani nakwambia hutajutia. ila hawa wa mjini ni waongo utapoteza noti zako kama mm. so nakushauri tafuta dem ambae ametulia papyuchi yake inabana asiwe malaya maana hjawa bila mguu wa mtoto ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazaz wanaojifungua, piawanasema stretching au kuvuta tushe pande zote kunaifanya irefuke. naskia kuna waliofanikiwa huko mambele walikua wanatoa shuhuda. so nakushauri hii ila inachukua muda. so jipange kama mwaka iv uki practice halaf ukifanikiwa tuletee mrejesho. nakutakia mema ila angalia ucje ngoa dushe ni kwa polepole
 
Sehemu ambayo inamletea mwanamke hisia ikio inc 2 tu kutoka nje. Hivyo hata ukiwa nnchi 3 inatosha kumstaregesha.
 
mi namshukuru mungu kwa hizi inchi 7.5 nafikiri kina watosha wadada au vipi vijidada hiki cha inchi 7.5 hakiwatosh mana wadada wa ckuhzi wanataka yale ya kuvesha pete
 
Hhahahahahahaha, umetisha mkuu.
Ukinyauka ni noma mkuu
 
Hivi ni dawa gani inatumika kuongeza urefu wa uume? Na inatumika kwa muda gani?

Faida na madhara yake ni nini?

BBC Swahili | Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000% - http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/09/150922_daraprim_aids_drugs_price_hike?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin
 
Hivi ni dawa gani inatumika kuongeza urefu wa uume? Na inatumika kwa muda gani?

Faida na madhara yake ni nini?

Duuh dunia inabadilika nakumbuka miaka ya nyuma tulipokuwa O level nlikuwa naona aibu masela kuona dushe langu kwani nlifikiri kuwa na kubwa ndio aibu,kumbe hata mabeibe ndio wanazozimikia

BTW, mtoa mada ukienda Arusha kwa wamasai wa kule ngaramtoni na sehemu zingine utapata hiyo dawa ya kuchanganya na supu.
 
Sorry,sasa nchi 6 hicho si kibamia mkuu au?

6 inches sio kibamia, hapo ndo nilipo nikisimama. Huwa naambiwa 'fanya taratibu, usiingize yote kwanza' alafu naona macho yake yamelainika na mmmmmmmh nyingi, hapo nasokomeza lote na huwa kajisahau anakula raha tu.
 
Huyo atakuwa mtoto huyo,
 
BBC Swahili | Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000% - http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/09/150922_daraprim_aids_drugs_price_hike?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin

mkuu asilimia elfu 5
 
mi namshukuru mungu kwa hizi inchi 7.5 nafikiri kina watosha wadada au vipi vijidada hiki cha inchi 7.5 hakiwatosh mana wadada wa ckuhzi wanataka yale ya kuvesha pete

Unamshukuru mungu au shetani?!
 
Jikubali afu jua jinsi ya kuutumia, unaweza ukawa nayo ndefu ila matumizi ziro ukaishia kuumiza tu watoto Wa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…