Kuongezeka kwa "Combination"

Soon wataongeza comb ya CCM (CIVICS, CHEMISTRY, MATHS)
 
binafsi naona hizi combination hazina tija saana maana ukiangalia kwa sasa zilizopo tu zinapata wanafunzi wachache pia, mfano combination lama PCM,PGM ma PCB zinakimbiwa, leo ukaweke PBM nani ataenda huko?? pia combination masomi yake angalau kwa namna moja ama nyingine masomo yake yanatakiwa angalau kuwe na uwiano kidogo sasa hizo PME phy na PBM kuna uwiano hopo hasa PBM Biology ima uwiano na chemistry leo unaiweka hapo ili iweje,
pia tuangalie je kwa kusoma combination hizo utakua nani, tuanze na PME hapo u engineer sahau kabisaaaa maana vyuo vyetu vinalazimu uwena principle za Physics na Mathematics na angalau S ya Chemistry, twende u-docta wanataka uwe na principle za Physics, Chemistry na Biology sasa leo mnaleta PBM ili iweje?? na PME alafu mtu uingie kene business ama economic degrees kuna umuhimu gani wa kuhangaika na Physics wakati EGM,HGE na ECA zinatosha!!
Kwa upande wangu naona baadhi ya hizo combination hazina tija, mwenye full list aweke labda kuna baadhi ya combination ziko vizuri.
 

Geograpraphy: Hilo ni somo jipya au ni Geography
 

duh EPM,ECM,PBM mh hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…