Ukitaka kujua, tabia ni chimbuko, angalia sana kwa umakini mienendo ya watalibani. Wale watu wengine wamezaliwa jalalabad, sijui mama zoa kama hawakusingiziwa uzinifu wakauawa. lakini leo wanaingia mjini na kuwa watawala. Siliza comments zao. Always selfish motives. Anawaambia kwao nyumba nzuri ni sawa tu na mapangoni. Eti wao wanachojua, watu wa aina yao, hawana haja ya maisha mazuri hapa duniani ila motoni. Wakati wakisema hayo, wamechagua mansions wna wanaondoa watu wengine kwenye nyumba wakae wapiganaji wao.
Kama nikweli, kwa nini wasiache kuchagua mansions wakae nyumba za kawaida?
Kama kweli wao kukaa nyumbani nisawa na mapangoni, kwa nini wanawaondoka kwenye nyumba watu wenine wapishe wapiganaji ambao kwao hakuna thamani ya nyumba?
Vurugu z maono au unafiki? Unafiki kwa nani na kwa nini?