(1) Simba kufika robo fainali CAF Champions League. Hii imewaongezea hamasa mashabiki wa Simba kufuatilia vpl huku wakiiombea timu yao ichukue ubingwa wa VPL na kupata tiketi ya kushiriki tena Klabu Bingwa Afrika, huku wakiamini Simba inaweza kufika tena robo fainali au kuchukua kombe kabisa.
Kwa upande wa mashabiki wa yanga hamasa imeongezeka kufuatilia VPL baada ya kutamani mafanikio ya Simba klabu bingwa. Kwahiyo wanataka timu yao iende kimataifa ili angalau wakaishie pale Simba alipoishia ule msimu.
(2) Kule ulaya Man U na Arsenal kuwa mbovu. Kutokana na ubovu wa hizi timu ambazo zina mashabiki wengi zimewafanya mashabiki hao kujiliwaza hata kwa soka la Kibongo.