Kuongezeka kwa Joto Nchini

Kuongezeka kwa Joto Nchini

Screenshot_20250224_155357_Google.jpg
 
Wakuu hali ni mbaya, joto limeongezeka maradufu , sehemu nilipo niewasha feni ila joto linasoma nyuzi joto 29C hali ni mbaya kunyweni maji mengi sana. Noamba kuwasilisha
Nimefurahi ulipotoa ushauri, watu wanywe maji mengi
 
KUNA WATU WAMEKULA HELA ZA MRADI WA MVUA

Usiku ndio hakulaliki, unaoga ukijifuta kidogo joto tena unarudi kuoga

mchana ndio usiseme kama huna AC AU FENI ndio balaa
 
KUNA WATU WAMEKULA HELA ZA MRADI WA MVUA

Usiku ndio hakulaliki, unaoga ukijifuta kidogo joto tena unarudi kuoga

mchana ndio usiseme kama huna AC AU FENI ndio balaa
Nyie watu wanakata miti maporini kutengeneza mikaa mnategemea mpate hali nzuri ya hewa!

Serikali imekaa kimya na wananchi wengi walivyo wajinga wanaona ni kitu cha kawaida.

Ndio maana wwnye CCM wanatamba kwa kusema kwenye majukwaa tutatawala milele sababu wamewafanya watanzania walio wengi kuwa wajinga kwa kutowapa elimu bora
 
Back
Top Bottom