Kwani njia hii si imekamilika zaidi ya miaka 3 iliyopita na magari kuongezeka. Mtoa hoja anauliza kwa nini sasa ndio zinajengwaKiongozi swala la ujenzi wa sheli kwa njia ya bagamoyo linatokana na uhitaji wa njia husika, tambua magaro mengi sasa yanapitia njia ya bagamoyo ,mabasi ya mkoani na malori ,ya tanga arusha na moshi hupita huku ,soon kutakuwa kama njia ya kimara.
kwahiyo hili lisikushangaze ni njia ishakuwa kubwa na watu wenye akili huwekeza kwa kuangalia maslahi ya baadae ,hata usishangae pia na hoteli zikianza kunengwa na nyumba za kulala wageni nyingi kwa ajili ya wasafiri.
Hoja yangu hapa kipngozi ni kuanza kutumiwa na mabasi ya abiria ndipo kumeongeza thamani na hadhi ya njia hii na ndomana umeona watu wanajitahidi kujenga vituo vya mafuta ,pia watu wengi wanaokwenda tanga arusha moshi, kwa gari ndogo hupenda kutumia njia hii sababu ni fupi tofauti na ile ya chalinze, na pia mji sasa unakuwa kama ilivyokuwa kimara mbezi na kibamba, now sasa njia ya bagamoyo inaanza kukuwa, na ndomana ukitoka bunju kuja mapinga sasa pana majaji tofauti na mwanzo, hii inaashiria wakazi wameongezeka walojenga mapinga. kerege zinga mpaka kilomo.Kwani njia hii si imekamilika zaidi ya miaka 3 iliyopita na magari kuongezeka....mtoa hoja anauliza kwa nini sasa ndio zinajengwa
Hilo ndiyo tatizo, old Dar Road karibu na makaburi ya Kola, Al-Saedy, kajenga kituo wenye kona fulani, nyuma ya kituo ni nyumba za watu ukuta kituo nyuma watu wanaishi. Aisee!Shida ni kwamba kila sehemu sasa ni kituo makazi ya watu hayaheshimiwi tena..wala shule haina maana tena. Hatuwezi kwenda bila mpangilio wa maisha.
Lake oil kwa hapa Daslam ndio mbabe yan had ndani ndani huko sheli zake zipo kaamua kuteka sokl mtu ukitoka chumban sheli hii hapaHata mimi nimeliona hilo tena zaidi huyu tajiri bwana Alii na Lake Oil yake, kazitandaza Dar na vichochoro vyake,
Inafikirisha sana, kwanini ghafla sana vituo vya mafuta vimeota kama uyoga?
Ni jambo jema lakini maana wanyonge tunapata ajira.