Kuongezeka kwa ujenzi wa vituo vya mafuta DSM

Wawekezaji wanawekeza kwenye nchi yenye mazingira mazuri ya biashara na usalama wa mitaji yao. Tanzania kuna matajiri wengi sana wamejificha- watu wanapata mahela mengi kwenye madini na maliasili . Ujenzi wa vituo vya mafuta katika kila kona ya jiji letu la Dar ni hatari sana kwa usalama wa Raia. Watu wenye nia mbaya wanaweza kutumia uwepo wa vituo kwa nia mbaya.
 
Kuongezeka kwa vituo ni kitu kizuri tatizo location,mf kile kituo cha pale Buguruni Sokoni sijui nani aliruhusu, kituo cha mafuta una kiweka sokoni kwenye mkusanyiko na mlundikano wa watu.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…