Kuongezeka kwa ulaji wa petroli kwa gari

Kuongezeka kwa ulaji wa petroli kwa gari

LaplaceTransformation

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
776
Reaction score
677
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.
 
Ilipotoka mpaka wewe kukaa nayo miaka 7 unadhani itaendelea kubaki vile vile...

Badilisha engine kabisa na pump...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom