Kuongezeka kwa Vitendo vya ' Kishirikina / Uchawi ' Mkani Mara ( Musoma ) walaumiwe hawa ' Wageni ' waliouvamia na wafukuzwe!

Kuongezeka kwa Vitendo vya ' Kishirikina / Uchawi ' Mkani Mara ( Musoma ) walaumiwe hawa ' Wageni ' waliouvamia na wafukuzwe!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Mkoa ambao tokea Uhuru hadi hivi leo huwa hauna Vitendo vya Kishirikina / Uchawi na hata Makabila mengi yanayopatikana huko hayana haya ' mauzauza ' kwakuwa ' Kiasili ' ni Wacha Mungu wazuri sana na Mwenyezi Mungu anawapenda sana pia ni Mkoa wa Mara ( Musoma )

Ila katika hali ya Kusikitisha kwa siku za hivi karibuni Mkoa huo ( Mara / Musom ) umeanza Kukumbwa na Vitendo vya Kishirikina / Uchawi hali ambayo inauchafua kabia huo Mkoa ambao wametokea Watu muhimu, makini na maarufu katika nchi hii ya Tanzania.

Katika utafiti wangu mdogo tu nimegundua ya kwamba kumbe wanaoongoza kwa Vitendo hivi vya aibu siyo Watu asilia wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) badala yake kumbe ni hawa ' Wageni ' waliouvamia Mkoa wetu kwa ' Wivu ' tu na kuiacha Mikoa yao ' mibovu ' ili mradi tu na Wao ' wabarikiwe ' kama wana Mara ( Musoma )

Nichukue fursa hii na pia nimwombe Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Adam Malima kuwa afanye ' msako ' kabambe kabisa dhidi ya hawa ' Wageni ' kutoka Mkoa wa Kagera ( Wahaya ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ) na Warangi ( Dodoma ) kwani ndiyo wanasababisha Vitendo vyote hivi vya ' Kishirikina / Uchawi ' kwakuwa ndiyo ' asili ' yao.

Na sijui ni kwanini ' wanajipendekeza ' mno kuhamia Mkoani Mara ( Musoma )

Nawasilisha.
 
Watu wa Mara mna roho ngumu sana. Kuna siku nipo Sirari nikashuhudia kwa macho yangu kijana akimchinja mwenzake kisa kugombania abiria mchana kweupe na hakuna aliemsogelea akaondoka kama hamna kilichotokea.

Sitarudia tena Mara muraaa.. Akili zao wanazijua wenyewe.
 
Zamani sana niliwahi kukaa huko Mara na ni kweli nilikuwa nashuhudia vitendo vya kishirikina sana maeneo nayokaa.

Kuna kabila moja hivi siwezi kulitaja ila na lenyewe haliko nyuma kwenye hayo mambo.
 
Huko Mara Wasukuma hawapo? Maana hata kwenye mashindano na maonyesho ya ngoma wanatumia hayo mambo.

BTW hakuna jamii ya Waafrika, hasa wa Sub Sahara ambao hawaamini au kushiriki uchawi.

Vv
 
wakurya wachawi kinoma
hua wanaroga hadi n'gombe, kama huamin njoo pm nikueleze walichonifanyia mchana kweupee, hatari sana hawa majamaa
 
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Kama kuna Mkoa ambao tokea Uhuru hadi hivi leo huwa hauna Vitendo vya Kishirikina / Uchawi na hata Makabila mengi yanayopatikana huko hayana haya ' mauzauza ' kwakuwa ' Kiasili ' ni Wacha Mungu wazuri sana na Mwenyezi Mungu anawapenda sana pia ni Mkoa wa Mara ( Musoma )

Ila katika hali ya Kusikitisha kwa siku za hivi karibuni Mkoa huo ( Mara / Musom ) umeanza Kukumbwa na Vitendo vya Kishirikina / Uchawi hali ambayo inauchafua kabia huo Mkoa ambao wametokea Watu muhimu, makini na maarufu katika nchi hii ya Tanzania.

Katika utafiti wangu mdogo tu nimegundua ya kwamba kumbe wanaoongoza kwa Vitendo hivi vya aibu siyo Watu asilia wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) badala yake kumbe ni hawa ' Wageni ' waliouvamia Mkoa wetu kwa ' Wivu ' tu na kuiacha Mikoa yao ' mibovu ' ili mradi tu na Wao ' wabarikiwe ' kama wana Mara ( Musoma )

Nichukue fursa hii na pia nimwombe Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Adam Malima kuwa afanye ' msako ' kabambe kabisa dhidi ya hawa ' Wageni ' kutoka Mkoa wa Kagera ( Wahaya ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ) na Warangi ( Dodoma ) kwani ndiyo wanasababisha Vitendo vyote hivi vya ' Kishirikina / Uchawi ' kwakuwa ndiyo ' asili ' yao.

Na sijui ni kwanini ' wanajipendekeza ' mno kuhamia Mkoani Mara ( Musoma )

Nawasilisha.
 
Watu wasiokuwa na nasaba na Mara huwa na 'vituko vyao'.

Mara kama Mkoa 'ushirikina' toka enzi na enzi. Tofauti ni kuwa mathalani Wakurya na Wangoreme hawakuwa Watu wa kuendekeza ujinga wa 'ushirikina', ukiwakorofisha unatishiwa au kula panga mambo yanaisha basi.

Najua siku hizi kuna miongoni mwao wanapenda haya mambo ya ushirikina ila si kwa kiwango kile.
 
Back
Top Bottom