GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna Mkoa ambao tokea Uhuru hadi hivi leo huwa hauna Vitendo vya Kishirikina / Uchawi na hata Makabila mengi yanayopatikana huko hayana haya ' mauzauza ' kwakuwa ' Kiasili ' ni Wacha Mungu wazuri sana na Mwenyezi Mungu anawapenda sana pia ni Mkoa wa Mara ( Musoma )
Ila katika hali ya Kusikitisha kwa siku za hivi karibuni Mkoa huo ( Mara / Musom ) umeanza Kukumbwa na Vitendo vya Kishirikina / Uchawi hali ambayo inauchafua kabia huo Mkoa ambao wametokea Watu muhimu, makini na maarufu katika nchi hii ya Tanzania.
Katika utafiti wangu mdogo tu nimegundua ya kwamba kumbe wanaoongoza kwa Vitendo hivi vya aibu siyo Watu asilia wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) badala yake kumbe ni hawa ' Wageni ' waliouvamia Mkoa wetu kwa ' Wivu ' tu na kuiacha Mikoa yao ' mibovu ' ili mradi tu na Wao ' wabarikiwe ' kama wana Mara ( Musoma )
Nichukue fursa hii na pia nimwombe Mkuu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Adam Malima kuwa afanye ' msako ' kabambe kabisa dhidi ya hawa ' Wageni ' kutoka Mkoa wa Kagera ( Wahaya ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ) na Warangi ( Dodoma ) kwani ndiyo wanasababisha Vitendo vyote hivi vya ' Kishirikina / Uchawi ' kwakuwa ndiyo ' asili ' yao.
Na sijui ni kwanini ' wanajipendekeza ' mno kuhamia Mkoani Mara ( Musoma )
Nawasilisha.