Spartacus boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,727 Reaction score 3,464 Apr 19, 2024 Thread starter #21 Kwa mpaka sasa nishapata muongozo kiasi chake. Nilitaka nijue ni technic zipi za kumshawishi HR ukiondoka na cheti cha chuo nitakachomuonesha. DR Mambo Jambo
Kwa mpaka sasa nishapata muongozo kiasi chake. Nilitaka nijue ni technic zipi za kumshawishi HR ukiondoka na cheti cha chuo nitakachomuonesha. DR Mambo Jambo