M MalumeNdago Member Joined Jan 8, 2018 Posts 17 Reaction score 19 Dec 7, 2023 #1 Hivi NMB wanahuduma ya kuongeza mwezi mmoja wa rejesho kama mtu unaona mwezi huo kuna uwezekano wa kuchelewa kurejesha mkopo?
Hivi NMB wanahuduma ya kuongeza mwezi mmoja wa rejesho kama mtu unaona mwezi huo kuna uwezekano wa kuchelewa kurejesha mkopo?
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Dec 7, 2023 #2 Kwanza ulikopa shingap
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Dec 7, 2023 #3 Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, nenda ofisini kwao ukutane na afisa mikopo, muweke mambo sawa.
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, nenda ofisini kwao ukutane na afisa mikopo, muweke mambo sawa.