Kuongoza Ligi Kuu ya NBC si tatizo, ila siioni Simba SC ikiuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu na kufika mbali CAFCL

Kuna mdau ameandika, viungo wa Simba wengi ni wafupi Sasa inaleta shida kumuona mzungu ambaye ni mrefu, ukiachilia mbali Chama uchezaji wake ni taratibu kama konokono Mzee.
Haiwezekani Mechi kama ya Jana timu isipige ata shuti Moja lililo lenga lango[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo konokono ndie huwatoa kamasi kwenye ligi yenu, show some respect dogo.
 
Na ikija kwenye mechi za derby, huyo konokono amekuwa akipata wakati mgumu sana kutoka kwa kale kadogo kazanzibari, kiasi cha kushindwa hata kumaliza dk. 90 za mchezo.

Ila kwenye mechi na timu ndogo, nakubali huyo konokono huwa anakiwasha kweli.
 
Kikosi kina Mapungufu makubwa na ya Kimsingi na hata Kocha Mkuu Zoran Maki ni tatizo na natabiri anaweza Asile nasi Watanzania Krismasi ijayo.

Mpaka sasa Simba SC haijanivutia.
Nasisitiza tena, Simba tumewekeza kwenye soka la Wanawake tu, la Wanaume baada ya muda tutaachana nalo.
 
Na ikija kwenye mechi za derby, huyo konokono amekuwa akipata wakati mgumu sana kutoka kwa kale kadogo kazanzibari, kiasi cha kushindwa hata kumaliza dk. 90 za mchezo.

Ila kwenye mechi na timu ndogo, nakubali huyo konokono huwa anakiwasha kweli.
Na timu ndogo ndio nyingi kwenye ligi
 
Na ikija kwenye mechi za derby, huyo konokono amekuwa akipata wakati mgumu sana kutoka kwa kale kadogo kazanzibari, kiasi cha kushindwa hata kumaliza dk. 90 za mchezo.

Ila kwenye mechi na timu ndogo, nakubali huyo konokono huwa anakiwasha kweli.
huyo mzanzibari mechi anayoiwaza ni moja tuu, ndo maana bado ni kinda ila hata nje haendi maana hana uwezo wa kucheza huko, hata timu ya taifa anaruka ruka tuu
 
Kikosi kina Mapungufu makubwa na ya Kimsingi na hata Kocha Mkuu Zoran Maki ni tatizo na natabiri anaweza Asile nasi Watanzania Krismasi ijayo.

Mpaka sasa Simba SC haijanivutia.
Kiongozi mawazo yako mazuri. Hadi sasa umevutiwa na tim gani NBC premium league?
 
Utachukuaje ubingwa na umejaza kina Lisandro Martinez 5'9" timu nzima.

Ubingwa unataka wachezaji 6'4" [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…