Kuongoza nchi ni kazi ngumu mno

Kuongoza nchi ni kazi ngumu mno

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Hayati Magufuli aliwahi Kusema Kuongoza Nchi ni kazi sana. Check Mwamba [emoji116]

20230806_132252.jpg
 
Ukiona hivyo,ujue jamaa yuko real katika ufanyaji kazi wake.Anaweza akakaa tu,asiwe hata anapitia mafaili,anaacha nchi inaliwa tu,na akanenepa.
 
Hiyo lugha ya kusema kuongoza nchi ni kazi ngumu ni utapeli wa mchana kweupe. Ingekuwa hatuoni ule wizi wa kura wakati wa uchaguzi ili mtu awe kiongozi tungeamini. Hii lugha iko kimazoea, au kimkakati ile wengine wasithubutu kugombea.
 
Wakenya wanamweka kati Rais wa mioyo yao
 
Sijui Huwa wanapendea Nini kazi hii ya stress.Mtu una pesa unaacha kula maisha unajiweka bize eti uwe rais.
Nakubaliana na mtu aliyesema.
Mtu mwenye akili timamu katu hawezi tamani kuwa raisi wa nchi.
JK kanawiri baada ya kustaafu.
 
Ni yeye au ni pacha wake,mbona haraka hivyo hta mwaka ajamaliza
 
Back
Top Bottom