Hiyo lugha ya kusema kuongoza nchi ni kazi ngumu ni utapeli wa mchana kweupe. Ingekuwa hatuoni ule wizi wa kura wakati wa uchaguzi ili mtu awe kiongozi tungeamini. Hii lugha iko kimazoea, au kimkakati ile wengine wasithubutu kugombea.
Sijui Huwa wanapendea Nini kazi hii ya stress.Mtu una pesa unaacha kula maisha unajiweka bize eti uwe rais.
Nakubaliana na mtu aliyesema.
Mtu mwenye akili timamu katu hawezi tamani kuwa raisi wa nchi.
JK kanawiri baada ya kustaafu.