Kuongoza Taifa ni Maarifa wala sio vijembe, kunangana na kuwasema vibaya watangulizi wako

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Kiongozi wa Taifa lolote lile lililo fanikiwa kiuchumi na kimaendeleo basi huyo nikiongozi mwenye maarifa.
Ningumu sana kwa kiongozi wa Taifa lolote lile duniani kuwa namafanikio chanya kama hatokuwa na maarifa na maono ya taifa analiongoza.

Kiongozi nilazima uwe na maono na maarifa kujatafasiri maono yako. Ukiwa na maono na maarifa yakurusha vijembe na kebehi kwa kila watangulizi wako wamelifanya yani mwisho wa siku utajikuta umepotea na Taifa limekukalia kooni nambaya usijuwe cha kufanya.

Taifa linaongozwa kwa busara, hekima na akili nyingi sana. Taifa linaongozwa na think tanks ambazo ndio nguzo ya wewe kujishikilia angalia usipake mafuta hizo nguzo ukateleza.

Kiongoz anaye fikiria Taifa waweza ongoza kama mtoto wako, mke wako, mume wako au mashost wako kiongozi huyo hupotezs mvuto ghafla kwa sababu hujikuta ktk mkumbo wakikundi au group flan ambalo mwisho humpoteza.

Zipo decision hata huulizi mtu lazima uzifanye wewe sasa tafakari uwe na group lazima ufanye kituko. Mwl Nyerere uwenda akawa alama ya maarifa na akili ktk uongozi wa Taifa hili màana alitimia akili na hekima kubwa sana kuongoza taifa hili nyakati ngumu sana kuliko tunazo ishi sasa na ndio maana huwaoni watoto wa huyu Muasisi wa hili taifa while watoto wa viongozi wa leo wote wanautaka urais mpaka unajiuliza hii nchi imekuwa yaki falme mbona kakikundi fulani tu kana taka kula national cake.

Mwisho kiongozi mwenye maarifa hutumia akili kuwaongoza watu badala yakutumia mbwembwe kuongoza watu. Kiongoz mwenye maarifa huwafanya watu wajione kuwa na uhuru wa kweli ktk taifa lao na sio watumwa. Kiongoz mwenye busara na hekima huwa aminisha watu uongozi sio utumwa na utwana ila uongozi ni nafasi amabayo Mungu humtunuku kila anaye mpenda pasipo jali dini au jinsia yake. Asante
 
..wewe unamsema Magufuli.

..subiri watu wa " regas " waje kushughulika na wewe.
 
" Funga mdomo na ulambe asali "
Alisika akisema , Baada bwana yule kuondoka
 
Vipi mmevurugana tena
 
Natamani maneno haya ungeyasema 2015-2020 lkn siku zote ukipenda chongo huona kengeza. Tufanye subira tu kila zama na mambo yake
 
Laana ya uuji iliondoka na mtu, naona wasaidizi watoa roho za watu, kiu ya damu za watu imewashika wanatamani mwingine wa kuwanywesha damu za watu wanahaha!!!

Hatutaki wauaji tena!!

Mama kanyaga twende, achana na mazombi!!
 
Hili jambo watu wanasahau kwamba kumchafua mtu hakukufanyi wewe kuwa msafi.
 
Kiongozi awe na MAONO na maarifa ya kutafsiri maono yake- I like it.

Ngoja Tuandike KATIBA mpya Ili tumsaidie AJAYE maono ya Taifa miaka 200 na zaidi ijayo ayakute ndani ya Katiba.

Ameeeen.
 
Huyu mama ni tatizo anayofanya wangefanya watangulizi wake leo hata yeye asingekuwepo hapi alipo hebu mumshauri kesi alizowafungulia watumishi waliokuwapo awamu ya Tano kwa kuwatumia TAKUKURU ni aibu hata kwa yeye mwenyewe kwani yeye alikuwa namba 2 wa JIWE
 
Back
Top Bottom