Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
The Boss:sioshi vyombo
wala kufua
na kamani mfumo dume na uwe tu........
kupika nikijisikia.......
as for her
i pay for a housegirl salary also....
thats fair enough
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.
Haoshi mtu vyombo bana unless muwe ndani ya ndoa changa.Hivi Bishanga kweli na umri huu kukura kakara mara nidondoshe misahani,mara ukoko unimwagikie,lol kwa lipi hasa,najipendekeza kwa nani,ili iweje?
nyani ngabu shtuka hili ni fumbo bana...mwanakijiji anaona kuna umuhimu kushirikiana kuviosha vyombo baada ya kula, tunaokula kwenye vyombo disposable hakioshwi kitu,ukimaliza kula una discard tu
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.
sioshi vyombo
wala kufua
na kamani mfumo dume na uwe tu........
kupika nikijisikia.......
as for her
i pay for a housegirl salary also....
thats fair enough
well said bishanga,na wala si kwa ndoa changa tu,
kumbuka mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo,
hawa dada zetu wa kibongo si wa kuwafanyia hayo yote,
utajuta kuzaliwa!!!!!!!
kiukweli sioshi vyombo hata kwa dawa, vimba hata upasuke!!!!!
Kwani ndo kusema nini hiyo, kwamba ndo kuonyesha upendo uliotukuka!!!!!
Siendekezi western culture kwangu, hata kidogo!
Kupika utapika, na vyombo utaosha!kwisha!!!!
Huo uzungu, pelekeni huko huko!!!!!!!!!!!