Kama ungekuwa ni wewe cheusi umeandika wala nisingekuwamim nilijua tokea mwanzo ni vyombo vya mezani,niliwashangaeni saaaaana kudhani hili ni fumbo,
The boss hukumwelewa MMsioshi vyombo
wala kufua
na kamani mfumo dume na uwe tu........
kupika nikijisikia.......
as for her
i pay for a housegirl salary also....
thats fair enough
MM ni mjanja sana amehisi kitu kinamuvuzishwa mie nahisi ni vyombo vilevile vinavyong'ang'aniana na mwili hahaha....we unaonajeHahaha unaona sasa, Mwanakijiji watu wameingia mkenge walikuwa wanatafsiri vingine
Haoshi mtu vyombo bana unless muwe ndani ya ndoa changa.Hivi Bishanga kweli na umri huu kukura kakara mara nidondoshe misahani,mara ukoko unimwagikie,lol kwa lipi hasa,najipendekeza kwa nani,ili iweje?
Aisee kweli bana. Nisingemtilia mashaka pale mwanzoni nadhani wengi wasingepeleka huko walikozipeleka fikra zao.
Na mimi wala si mchoyo wa ushirikiano. Napika, napakua, natenga, naosha, na kuvipanga vyombo kabatini.
Vyombo hivi siyo vile
Vya huku siyo kule
Vya jikoni siyo pale
Vyomo vile vya kulia!
Vyombo siyo vya sirini
Vyombo vile vya mezani
Siyo vya kule chumbani
vyombo vile vya jikoni!
Siyo vyombo vya gizani
Vilivyong'ang'ana mwilini
Vya vyakula vya gizani
Vyenye kuliwa shukani
Vyombo hivi ni sahani,
Na vijiko vya mezani
Sufuria za jikoni
Bakuli za kabatini!
Mlivyonavyo mawazoni
Silo niwaulizeni
Sijui tatizo nini
Mmewaza ya chumbani!
Mkisha kula pamoja
Vitamu tena vya haja
Mtaosha kwa pamoja
Au aoshe mmoja?
Swali nawaulizeni.
M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
1. Wote mlikuwa na njaa.
2. Mkashirikiana wote kupika.
3. Mkainjoi chakula wote.
Kwa sababu process zote muhimu za maandalizi milikuwa wote, so inabidi muhitimishe kwa kuosha wote hivyo vyombo.