Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Usiku wa kuamkia Leo nimeota bibi yangu ambaye ni mama mdogo wa baba yangu anakufa na msiba analetwa maenoe ya nyumbani.
Sinaelewa iyo ndoto imetokana na nini maana hata uyo bibi hatukuwa na ukaribu japo namfahamu hata sikuwai kumuwaza.
Vile vile kwenye lile eneo nimewahi kuota tawi la mti mkubwa mjuju/mgabiro unakatika unataka kunidodokea ila nilikimbia Sana haukuweza kunigusa.
Naombeni msaada hizi ndoto zinaashiria nn?