Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Amen mtumishiUkiota mtu aliyekufa maana yake unatakiwa UMUUOMBEE DUA kwa MUNGU...hakuna jingine...ila ilo TAWI la mti kama kingekupiga basi ujuwe UCHAWI UMEKUPATA....na pia jifunzr kuangalia saa unapoota ndoto.....kuanzia saa nane na tisa usiku hiyo ndoto utakayoota ifanyie kazi...95 huwa kweli