Kuota mvi ukiwa na umri mdogo

Kuota mvi ukiwa na umri mdogo

Kingswat

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
26
Reaction score
3
jamani nimeota mvi kichwan wakati mm bado kijana sasa cjui znasababishwa nin,ningependa kujua kama kuna dawa ya kuziondoa/kuzizuia zisiendelee kuota.
 
Back
Top Bottom