Kuota nafanya mapenzi ni ishara ya nini?

Kuota nafanya mapenzi ni ishara ya nini?

Maana sio kawaida Leo asubuhi ndani ya masaa 4 yaani kuanzia saa 11 asubuhi mpaka saa 2 asubuhi nimeota mara 2 nafanya mapenzi.
Ndoto za kuota unafanya mapenzi au upo shuleni
Ndoto hii inamaanisha wachawi wamekutupia majini au Mizimu ya ukoo
lengo kubwa usioe na pia usifanikiwe maisha yako yote
Dawa yake ni ndogo sana lipo jina lipitayo majina yote jina la Yesu vunja mamlaka hizo kwa jina la Yesu
 
Back
Top Bottom