Nasali mkuu ila naogopa natamani nipate walau mwanga kidogo wa maana ya hii ndotoSijui maana ya ndoto yako ila sio ya kawaida....
Sali sana kuna uwezekano una kipaji au uko tofauti na watu wote...sali na muombe sana MUNGU
Kama unasali uoga ni wa nini? Kama ndoto yako umeona sio ya kawaida kaa katika imani yako sali na omba sana Mungu akufunulie ila ukitanguliza uoga mbele hautaelewa kamweNasali mkuu ila naogopa natamani nipate walau mwanga kidogo wa maana ya hii ndoto
Eti eeeTatizo unaanza kulewa mapema sana
SawaKama unasali uoga ni wa nini? Kama ndoto yako umeona sio ya kawaida kaa katika imani yako sali na omba sana Mungu akufunulie ila ukitanguliza uoga mbele hautaelewa kamwe
Ooooh hakuna kitu kibaya kilikukuta baada ya kuiota?Hii ndoto nilishawahi kuiota na maana yake siifahamu