Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 558
- 661
Habari wakuu
Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini.
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu nikaelekea mahali kuchukua kioo nilikua nimekua nikakuta kimevunjika nusu kipo chini nusu nikabaki nacho mkononi,nini tafsiri yake??
N:B kuhusu changamoto na misukosuko ktk maisha yangu hapa ni nyumbani kwao Nina PhD
Nawasilisha.