Kuota nyama puani

Kuota nyama puani

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Wakuu heshima kwenu.Naomba kusaidiwa,kuota nyama puani inayosonga kutoka nje ya pua ni ugonjwa gani na nini tiba yake?
 
huo sic ugonjwa bali ni dalili ya mwili kuwa na sumu nyingi mwilini wanasema tiba yake utumie sana machungwa kwani yana vitamini c ambayo uondosha sumu ukishindwa kuna tiba mbadala tumia absolvent c inasaidia sana kuondosha sumu kwani ina vitamin c kwa wingi
 
Asante mkuu nitajitahidi kuzingatia ushauri.
 
ok kipo kidude cha kupaka na za kunywa hili kuondoa hilo tatizo so kama utavihitaji utanicheki
 
hiyo ni dalili ya pumu Kama kwenye familia kuna mtu anatatizo la pumu kati ya baba au mama na sizani Kama ni sumu ni aleji yakurithi Kama imefika hatua mbaya bora ukimbilie operations
 
Back
Top Bottom